UCHAMBUZI: Tuboreshe tiba asili kuelekea uchumi wa viwanda

Nilipokuwa likizo ya mwisho wa mwaka kijijini, nilishuhudia mama mmoja katika nyumba jirani akihangaika kutafuta dawa ya kumtibu mtoto wake aliyekuwa amepata homa saa chache zilizopita.

Kwa kuwa ugonjwa hauna hodi, mama huyo alikuwa hana mbele wala nyuma kuhusu matibabu ya mwanaye, hivyo aliamua kumtaarifu bibi wa mtoto huyo kuhusu ugonjwa huo. Soma zaidi